Kamanda wa polisi katika eneo bunge la Molo, Timon Odingo amewataka waendeshaji bodaboda kuwa waangalifu barabarani na kutii sheria za trafiki kikamilifu kwa minajili ya kupunguza maafa zaidi.
Matamshi yake yanajiri siku moja baada ya mwanamke mmoja …
Read more